Sunday, January 6, 2013

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA ZIARA YA MBUNGE WA LUDEWA MH; DEO FILIKUNJOMBE DISEMBA 27 MWAKA JANA HADI JANUARI 2 MWAKA HUU


 WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KWENYE KIBAO CHA MATEMA BEACH TAYARI KWA KUANZA ZIARA YA MWAMBAO WA ZIWA NYASA KWENYE ZIARA YA MBUNGE WA LUDEWA. MSAFARA WA MBUNGE ULILAZIMIKA KUZUNGUKA KUTOKANA NA UHABA WA USAFIRI WA MELI.
 MWANDISHI WA RADIO BEST FM YA MJINI LUDEWA FESTUS PANGANI AKIWA KATIKA POZI MATEMA BEACH DISEMBA 28 MWAKA HUU
 NICKSON MAHUNDI WA GAZETI LA MAJIRA, MEINRAD MTEGA KATIBU WA UVCCM WILAYA YA LUDEWA NA FESTUS MAKOTI WAKIWA MATEMA BEACH KATIKA ZIARA YA MBUNGE

 WAKUU WA IDARA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA PAMOJA NA WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO MBALIMBALI WAKIWA MATEMA BEACH TAYARI KWA ZIARA YA MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE MWAMBAO WA ZIWA NYASA DISEMBA 27 MWAKA JANA.



 FILIKUNJOMBE AKIPANDA BOTI MATEMA BEACH KUELEKEA MWAMBAO WA ZIWA NYASA 28 DISEMBA MWAKA JANA KATIKA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA VIJIJI 77 VYA WILAYA HIYO AMBAPO HADI SASA AMETEMBELEA VIJIJI 72 JAMBO AMBALO HAKUNA MBUNGE ALIYEWAHI KUVIFIKIA VIJIJI HIVYO KATIKA MIAKA 50 YA UHURU.
 MBUNGE WA LUDEWA (KATIKATI) DEO FILIKUNJOMBE AKIWA NDANI YA BOTI LA HALMASHAURI MWAMBAO WA ZIWA NYASA KULIA NI KATIBU MWENEZI CCM FELIX HAULE NA KULIA NI MH; STANLEY KOLIMBA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA LUDEWA.

 SAIDI MNYALUGENDO MWANDISHI NA MPIGAPICHA WA GAZETI LA MWANANCHI NA HONORATUS MGAYA KATIBU MWENEZI CCM (M) NJOMBE WAKIWA MATEMA ZIARA YA MBUNGE


 MH; DEO FILIKUNJOMBE MBUNGE WA LUDEWA AKIPAMBANA NA WANYAMA WAHARIBIFU WA MAZAO MWAMBAO WA ZIWA NYASA KWA KUTOA NYAVU (LUPIPIRI) ZA KUNASA NYANI NA NGENDERE KATIKA KATA YA LUMBILA WANANCHI WALIONA KITENDO HICHO KAMA UKOMBOZI KWAO.
 PAMOJA NA MVUA KUNYESHA FILIKUNJOMBE ALIENDELEA NA MIKUTANO YA HADHARA KWA KUSIKILIZA MATATIZO YA WANANCHI WAKE KATIKA KIJIJI CHA NKANDA NA CHANJALE KATA YA LUMBILA.
 MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE AKISALIMIANA NA MWENYEKITI KIJIJI CHA NKANDA ALIPOFIKA HIVI KARIBUNI.

No comments:

Post a Comment