WANANCHI zaidi ya 350
wa vijiji viwili vya Ludewa (K) na Ludwa (M) katika kata ya Ludewa Mkoani
Njombe kwa mara ya kwanza wamejitokeza kwa wingi kupiga kura kuwachagua wajumbe
wa baraza la katiba ngazi ya kata.
Katika uchaguzi huo
Aulerian Mhagama, mama nyivambe, Gerodi Kayombo na Haule waliibuka washindi na
kuwashinda watu wenye majina makubwa.
No comments:
Post a Comment