Hayo yalitolewa jana na Halmashauri ya wilaya ya Ludewa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Serikali za mitaa iliyofanyika Julai mosi mwaka huu katika uwanja wa mpira wa miguu Ludewa mjini maadhimisho yaliyopambwa na pikipiki almaarufu kama bodaboda zikifuatiwa na msululu wa watumishi kutoka katika idara mbalimbali yakifuatia na maonesho mbalimbali.
Monday, July 1, 2013
SHILINGI 1,3 BILIONI ZATUMIKA KATIKA MIRADI YA MAENDELEO LUDEWA Jumla ya shilingi 1,384,578,671,.73 bilioni zimetumika katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya wilaya ya Ludewa kwa kipindi cha Julai 2012 hadi Juni 30, 2013 fedha hizo ni kati ya shilingi 3,336,217,482 zilizokisiwa.kiasi hicho kilichotumika ni kutoka Serikali kuu na wahisani na miradi mbalimbali imeshaanza kutekelezwa wakati mingine ikiendelea na utekelezwaji kwa hatua mbalimbali. Hayo yalitolewa jana na Halmashauri ya wilaya ya Ludewa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Serikali za mitaa iliyofanyika Julai mosi mwaka huu katika uwanja wa mpira wa miguu Ludewa mjini maadhimisho yaliyopambwa na pikipiki almaarufu kama bodaboda zikifuatiwa na msululu wa watumishi kutoka katika idara mbalimbali yakifuatia na maonesho mbalimbali.
Jumla ya shilingi 1,384,578,671,.73 bilioni zimetumika katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya wilaya ya Ludewa kwa kipindi cha Julai 2012 hadi Juni 30, 2013 fedha hizo ni kati ya shilingi 3,336,217,482 zilizokisiwa.kiasi hicho kilichotumika ni kutoka Serikali kuu na wahisani na miradi mbalimbali imeshaanza kutekelezwa wakati mingine ikiendelea na utekelezwaji kwa hatua mbalimbali.
Hayo yalitolewa jana na Halmashauri ya wilaya ya Ludewa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Serikali za mitaa iliyofanyika Julai mosi mwaka huu katika uwanja wa mpira wa miguu Ludewa mjini maadhimisho yaliyopambwa na pikipiki almaarufu kama bodaboda zikifuatiwa na msululu wa watumishi kutoka katika idara mbalimbali yakifuatia na maonesho mbalimbali.
Hayo yalitolewa jana na Halmashauri ya wilaya ya Ludewa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Serikali za mitaa iliyofanyika Julai mosi mwaka huu katika uwanja wa mpira wa miguu Ludewa mjini maadhimisho yaliyopambwa na pikipiki almaarufu kama bodaboda zikifuatiwa na msululu wa watumishi kutoka katika idara mbalimbali yakifuatia na maonesho mbalimbali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment