Na Bazil Makungu
MBUNGE
wa Ludewa katika Mkoa wa Njombe Deo Filikunjombe amewaonya na
kuwataka makandarasi wazarendo waliopewa na kusaini mkataba wa kazi
ya kukarabati na kupanua barabara ya Itoni hadi Ludewa kuwa waaminifu
na waadilifu vinginevyo hatasita kuomba mwongozo wa spika kwa yeyote
atakayekwenda kinyume na mkataba.
Filikunjombe
alitoa onyo hilo jana katika hafla fupi ya utiaji saini mkataba wa
ukarabati na upanuzi wa barabara kwa kiwango cha changarawe kutoka
itoni hadi Ludewa katika migodi ya madini ya makaa ya mawe ya
mchuchuma na chuma cha Liganga ili kuwezesha kupita mitambo mikubwa.
No comments:
Post a Comment