Saturday, June 14, 2014

NAIBU KATIBU MKUU CCM ZANZIBAR AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA CHAMA NGAZI YA KATA KUTOKA WILAYANI LUDEWA.

NAIBU Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi (ccm) Zanzibar Mh Ali Vwai Ali amewataka wabunge wote wa chama hicho kujitoa kwa kupeleka na kufanya semina elekezi kwa vingozi ngazi ya kata na vijiji ili kujihakikishia ushindi lakini sanjari na kuwaunganisha vijana na kuwatumia katika kukijenga cha kama anavyofanya mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe.

Vwai ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam katika ufunguzi wa semina ya viongozi mbalimbali wa ccm kutoka katika kata 25 za wilaya ya Ludewa katika mkoa wa Njombe waliopo kwenye ziara ya mafunzo elekezi yaliyofadhiriwa na Filikunjombe semina ya siku mbili inayofanyikakwenye ukumbi wa serengeti uliopo katika hotel ya JB SELMONT iliyopo  jengo la Mkapa towre mkabara na posta mpya.




 Mh, Vita Kawawa akizungumza na wanaLudewa katika viwanja vya Bunge june 12 mwaka huu walipokwenda kushuhudia kusomwa kwa bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015
 Mgeni rasmi makamu katibu mkuu wa ccm zanzibar Ali Vuai Ali akifungua semina ya siku mbili kwa viongozi wa ccm kutoka Ludewa

















No comments:

Post a Comment