Thursday, June 11, 2015

WAZEE LUDEWA WAENDELEA KUMCHANGIA FILIKUNJOMBE FEDHA ZA KUCHUKULIA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE

Filikunjombe akikabidhiwa fedha na mzee Mwanawalifa za kuchukulia fomu ya kugombea ubunge mwaka 2015 jimbo la Ludewa
 Filikunjombe akikabidhiwa fedha na mzee Mwanawalifa za kuchukulia fomu ya kugombea ubunge mwaka 2015 jimbo la Ludewa

UJENZI WA LAMI KATIKA BARABARA ZA MITAA YA MJI WA LUDEWA WASHIKA KASI

 ujenzi wa barabara za lami ukiendelea katika mitaa ya mji wa Ludewa
barabara ya kutoka katikati ya mji kuelekea ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Ludewa zikiwa katika ujenzi wa kiwango cha lami


KIJIJI CHA LUANA WILAYANI LUDEWA CHAZIDI KUPENDEZA KWA KUFUNGUA BARABARA ZA VITONGOJI

Hii ndiyo barabara ya Mlato kwenda Ituni katika kijiji cha Luana iliyofadhiriwa na Mbunge Deo Filikunjombe katika ukarabati wake.

 Filikunjombe akifukua mitaro na wananchi wa Luana

Wenyeviti wa serikali ya vijiji vyote 77, Ludewa watangaza kumuunga mkono Filikunjombe waitaka CCM kutotoa fomu ya ubunge kwa wagombea wapya ili kuharakisha maendeleo.


Hawa ndio watendaji wa vijiji 77,wenyeviti wa vijiji na watendaji wa kata za wilaya ya Ludewa walipokutana katika mkutano wa kuhamasisha maendeleo katika ukimbi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa

Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh.Deo Filikunjombe akiongea na viongozi hao wa kata na vijiji
Mzee maarufu na mkongwe wa siasa ambaye aliwahi kuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa Mzee Hilali Nkwera akiongea na viongozi hao

WILAYA YA LUDEWA YAANDAA MPANGO WA KUKUZA SEKTA YA ELIMU

 Bw.Haji Mnasi ofisa elimu shule za msingi wilaya ya Ludewa

 Bw.Haji Mnasi ofisa elimu shule za msingi wilaya ya Ludewa akiongea na mwandishi wa habari Bw.Bazil Makungu

Thursday, April 9, 2015

Wednesday, March 11, 2015

WANAKIJIJI WAILALAMIKIA SERIKALI KUTOKANA NA SHULE YAO KUWA NA MWALIMU MMOJA WILAYANI LUDEWA.

 Mwalimu Shamim Kiyao ndiye mwalimu pekee katika shule ya msingi Kingole