Saturday, October 13, 2012

AJALI MKUZA MOROGORO

 
Leo asubuhi eneo la Mkuza katika barabara kuu iendayo Morogoro, baada malori haya kugongana uso kwa uso na kusababisha moto. Sikuweza kupata taarifa yoyote ya vifo au majeruhi!! katika ajali hiyo mbaya..

No comments:

Post a Comment