| Hii ndio hali halisi ilivyokuwa
kamata piga, kamata piga, peleka kwenye gari na kisha kupelekwa kwenye
vituo vya Polisi kuhifadhiwa. Wananchi hawa waliamua kukaa chini ili
kusalimu amri lakini hiyo haikuwaponya baada ya kuzuka kwa vurugu kati
ya waislamu na jeshi la polisi zilizoanzishwa na waislamu baada ya
kudaiwa kutokea kwa mabishano ya watoto na mmoja wao kukojolea kitabu
cha kuran hapo jana maeneo ya Mbagala kizuiani jijini Dar es salaam Baadhi ya wakazi wa eneo hilo, wakizungumza na waandishi wa habari, kulalamikia mabomu na kudai kuwa yalikuwa yakiwaumiza sana kwani mchana kutwa wa leo, hali ilikuwa ni mbaya hasa ikizingatiwa watoto walikuwa wamelazwa majumbani na hivyo kuathiriwa na mabomu hayo. PICHA KWA HISANI YA BAYANABLOGSPOT |
Saturday, October 13, 2012
VURUGU ZA WAISLAMU NA JESHI LA POLISI JANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment