Kipa
Mohamed Yussuf wa timu ya Chuoni akiokoa hatari wakati wa mechi yao ya
Ligi Kuu ya soka ya Grandmalt dhidi ya Mafunzo kwenye Uwanja wa Amaan
mjini Zanzibar leo. Chuoni ilishinda 3-0.
Mshambuliaji
wa timu ya Chuoni, Jaku Joma akimtoka mlinzi wa Mafunzo, Shaffi Hassan,
wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya soka ya Grandmalt kwenye Uwanja wa
Amaan mjini Zanzibar leo. Chuoni ilishinda 3-0.
No comments:
Post a Comment