Filikunjombe akiongozwa na afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Tanzania China Minerals Resouces LTD kuangalia shughuli zinazoendelea.
Mh; Filikunjombe akipata maelezo sahihi namna miradi ya liganga na mchuchuma inavyoendelea katikati ni HUANG Afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya TCMR Yenye ubia kati ya Tanzania na China, kushoto ni mkalimani wa kichina kulia Deo Filikunjombe.
Mitambo ya kuchoronga ikiwa kataka hatua za mwisho kujua kiasi kilichopo ardhini.mtambo huu unazama zaidi ya mita 400.
Filikunjombe akijadili na wawekezaji ni lini uchimbaji unaanza na nini changamoto wanazokumbana nazo
Filikunjombe alipokwenda kukagua daraja la mto ketawaka linalounganisha kijiji cha Maholong'wa na Amani daraja hilo linategemea kutumia zaidi ya shilingi m.196 za kitanzania.
Filikunjombe alipowasili katika kijiji cha Ludende na kupokelewa na wanachi kwa maandamano na ngoma shigoni mbunge ni shahada alilovalishwa na mwasisi wa ccm mzee Mhagama Shetani muda mfupi baada ya kuwasili kijijini hapo.
Hapa mbunge akipata maelezo kuhusu wananchi walivyojenga daraja hilo kwa nguvu zao wenyewe
Mzee Mhagama shetani mwenye umri wa miaka 115 alipompokea mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe
No comments:
Post a Comment