Deo Filikunjombe akiwa katika zahanati hiyo mbele yake ni mwenyekiti wa ccm wilaya ya Ludewa Stanley Kolimba
Zahanati ya Mangalanyene ikiwa imesimama kwa kukosa saruji ya kumalizia
Wananchi wa mangalanyene wakimlaki mbunge wao alipokwenda kupeleka saruji ma mafundi kumalizia zahanati kama mchango wake
Fundi sanifu wa majengo Salivius Haule akipiga hesabu ya gharama za zahanati hiyo na kumkabidhi mbunge
Wananchi wa Mangalanyene wakimsikiliza mbunge wao ndani ya kanisa baada ya kukimbia mvua iliyokuwa inanyesha na kukimbilia kanisani kumalizia mkutano
Mama akimshukuru mbunge kwa wema alioufanya kwa wananchi wa mangalanyene hivi karibuni
Mbunge wa Ludewa akiteta jambo na katibu wake Stanley Gowele siku alipokabidhi saruji na Tanki la maji Mangalanyene
Deo akikabidhi tanki la maji kabla ya kushushwa katika gari
Hapa akiwa anakabidhi tanki la maji na kupeana mkono na diwani viti maalum Evelina Mgaya kushoto kwake ni Mhagama diwani wa kata ya Madope
Fikunjombe akishuhudia Tanki likishushwa toka kwenye gari tayari kwa kukabidhi wananchi Mangalanyene
Filikunjombe akipeana mkono na diwani wa kata ya Madope Bw Mhagama
ZAHANATI YA KIJIJI CHA MDILIDILI AMBAYO FILIKUNJOMBE AMETOA VIFAA VYA KIWANDANI VYENYE THAMANI ZAIDI YA SHILINGI M. 10 KAMA MCHANGO WAKE
FILIKUNJOMBE AKISHIRIKI KUDUMISHA MILA KWA KUCHEZA NGOMA YA MATULI KATIKA OFISI ZA KIJIJI CHA MANGALANYENE
MAKAA YA MAWE YAKIWA YAMEKUSANYWA PAMOJA KWA AJILI YA KUPELEKWA KIWANDANI
No comments:
Post a Comment