Saturday, February 16, 2013

PUNDA AMJERUHI MTOTO VIBAYA NA KULAZWA


 MTOTO FRANSIS MGOGI (6) AKIPATIWA WA KIJIJI CHA MIGOLI IRINGA (V) AKIPATIWA MATIBABU BAADA YA KUJERUHIWA NA PUNDA WANAOZAGAA MITAANI KAMA VILE HAWANA MWENYEWE
MUUGUZI WA ZAMU KATIKA KITUO CHA AFYA KOPE HILDA MLIGO AKIYATIBU MAJERAHA YA MTOTO HUYO BAADA YA KUMPOKEA

No comments:

Post a Comment