HII NI HALI HALISI YA VYOO VYA SHULE MWAMBAO WA ZIWA NYASA
MANGULA, KIKWETE, KINANA MKUTANO MKUU WA CCM
MKUTANO MKUU WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWADI LOWASA AKIFUATILIA KWA KARIBU
WAANDISHI WA HABARI WALIPOZURU MWAMBAO WA ZIWA NYASA WAKIPATA MAELEKEZO KUTOKA KATIBU WA MBUNGE
DK CHRISANT MZINDAKAYA MWENYEKITI BODI YA NDC AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA WATAALAMU WA MADINI TOKA MMI
MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI KUSHOTO PIUS MSEKWA, DR SHEIN, DR RAIS KIKWETE, ABDALAHAMAN KINANA NA PHILIP MANGULA
NI SAMAKI MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MAJIRA AKIWA AMESHIKILIA SAMAKI
ASKOFU SANGA WA KKKT ALIPOTEMBELEA LUDEWA HIVI KARIBUNI
ZIWA NYASA WATOTO WA KIKISI WAKIJIFUNZA KUVUA WAKIWA KATIKA UMRI MDOGO MTOTO WA NYOKA NI NYOKA
KATIKATI MWENYE FIMBO YA KICHUNGAJI NI ASKOFU SANGA WA KKKT ALIPOFIKA LUDEWA MJINI KUBARIKI KANISA BAADA YA UKARABATI KULIA NI MCHUNGAJI MISITU
MTI WA MWEMBE ULIJIOTE WENYEWE UNAJITUNZA WENYEWE NA KUZAA MATUNDA LAKINI WANADAMU WA MAENEO HAYA NI MASKINI WA KIPATO
MAEMBE HAYA HUPATIKANA KWA MUSIMU LAKINI YAMEKUWA YAKIHARIBIKA KUTOKANA NA KUKOSA VIWANDA VYA KUKAMUA JUICE
ASKOFU SANGA WA KKKT ALIPOFIKA LUDEWA KUZINDUA KANISA LUDEWA MJINI BAADA YA KUKARABATIWA HIVI KARIBUNI
CHAI MADOPE
BOTI YA MV MUSSA HUU NDIO USAFIRI WA MWAMBAO WA ZIWA NYASA KUTOKA MANDA HADI KYELA MBEYA. WANALAZIMIKA KUTUMIA USAFIRI HUU KUTOKANA NA MELI YA MV SONGEA KUTOKUWA NA RATIBA MAALUM YA UHAKIKA KATIKA MWAMBAO HUO
No comments:
Post a Comment