Monday, April 22, 2013

MATUKIO MBALIMBALI TAKUKURU INAVYOJISHUGHULISHA NA JAMII KATIKA KUJITANGAZA

 Kamanda wa TAKUKURU wilaya ya Ludewa Edings Mwakambonja akitenda matendo ya huruma kwa mgonjwa April mwaka huu, TAKUKURU ilipotembelea wagonjwa katika Hospitali ya wilaya ya Ludewa kuwafariji wagonjwa katika wodi ya wazazi ambapo kila mzazi alipewa miche miwili ya sabuni..
 Aliye simama ni Kaimu mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya Ludewa Matenus Ndumbalo akichangia hoja wakati takukuru ilipo
Mwenyekiti wa kijiji cha Ludewa (M) John Omari Kiowi aliyevaa kofia akisikiliza kwa makini utafiti wa maafisa wa TAKUKURU kuhusu ukosefu watumishi wa idara ya maji mjini Ludewa kutajwa kuhusika na Rushwa.
Meneja wa mamlaka ya maji mjini Ludewa Teodori Mfuse kulia akiwa na mzee swaga mtumishi wa idara hiyo anayehusikla na ugawaji maji mjini.
Mkuu wa wilaya ya Ludewa Solomon Madaha akifungua warsha ya siku moja iliyo andaliwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) kwa wenyeviti wa vitongoji katika kata ya Ludewa na wadau mbalimbali wa maji kufuatia utafiti uliofanywa na takukuru kwa watumishi kujihusisha na rushwa.
Kushoto mjumbe wa shirika la LCBA Lazaro Mwinuka akifuatilia warsha hiyo
 Kamanda wa TAKUKURU wilaya ya Ludewa Edings Mwakambonja akitoa maelezo kwa mgeni rasmi na wadau namna alivyofanya utafiti na makundi aliyokutana nayo kubaini mianya ya rushwa katika mamlaka ya maji Ludewa Mjini.
Theodol Mfuse meneja wa mamlaka ya maji mjini Ludewa akijiandaa kujibu maswali ya wadau juu ya nini kinasababisha uhaba wa maji mjini.


Kaimu Mhandisi wa maji wilaya ya Ludewa Atanasio Munge alipohudhuria warsha iliyoandaliwa na Takukuru
Maafisa wa Takukuru wilayani Ludewa Shida Chihongaki katikati na Swebe walipotembelea hospitali ya wilaya ya Ludewa kutenda matendo ya huruma kwa wagonjwa na kutoa kutoavifaa mbalimbali ikiwemo sabuni kwa wagonjwa waliokuwa wamelazwa katika wodi ya wazazi Aprili 20 mwaka huu.
WAnafunzi na viongozi wa Club za wapinga rushwa kutoka shule za sekondari za Chief Kidulile, Sekondari ya Ludewa(M) St Alois wakipata maelekezo kutoka kwa kaimu mganga mkuu wa wilaya ya Ludewa Dr Kilimba.
Dkt.Kilimba kaimu mganga mkuu wilaya ya Ludewa akitoa taarifa ya maendeleo ya hospitari kwa maafisa wa TAKUKURU April 20 mwaka huu
Viongozi wa klabu za wanafunzi za kupambana na rushwa wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa TAKUKURU na madaktari wa hospitari yawilaya ya LudewaApril 20 mwaka huu

Kamanda wa TAKUKURU wilaya ya Ludewa Edings Mwakambonja akimpa sabunni mama mjamzito April 20 mwaka huu ofisi yake ilipokwenda kushiriki matendo ya huruma kwenye wodi ya wazazi.






Club za wapinga rushwa wakipata maelezo kutoka kwa Dr Mgeni wakiwa katika wodi ya wazazi
Diwani wa kata ya Mlangali Faraja Mlelwa alipokutwa na kamera yetu akishiriki kazi ya uselemala pamoja na vijana wenzake April 20 mwaka huu mjini Ludewa
Dkt.Kaoza akiwapatia maelekezo viongozi wa klab za TAKUKURU namna hospitari ya wilaya inavyofanya kazi
Mwenyekiti wa kijiji cha Ludewa Omary Kiowi akitoa maoni yake kuhusiana na utendaji kazi wa TAKUKURU
Wanafunzi wakishiriki usafi katika wodi ya wazazi walipokwenda na Takukuru
Mkuu wa takukuru wilaya ya Ludewa akionesha kwa vitendo matendo ya huruma kwa kushiriki usafi wodiya wazazi
Maafisa wa takukuru Shida Chihongaki, Lucas Swebe na Mkuu wao Edings wakiwafanya usafi wodi ya wazazi chumba cha kujifungulia
Maafisa wa TAKUKURU wakishiriki kufanya usafi hospitari ya wilaya ya Ludewa hivi karibuni
Afisa wa TAKUKURU Bw. Shida Chihongaki akishiriki kufanya usafi hospitari ya wilaya ya Ludewa
Jamaa ambaye kwa jina hakuweza kufahamika mara moja akiwa amepiga usingizi baada ya kulewa kupita kiasihata hivyo habari zilizopatika na eneo hilo nikwamba mtu huyu alikuwa akidaiwa na mwenye grocery hiyo ikiwa mbinu ya kukwepa kulipa
Bw.Chihongaki akitoa maelekezo namna ya ufanyaji kazi wa TAKUKURU kwa wadau mbalimbali

Wanafunzi viongozi wa club za wapinga rushwa kutoka katika shule za St Alois, Chief Kidulile, na Ludewa Mjini





 Kamanda wa TAKUKURU Bw.Edings Mwakambonja akifanya usafi katika hospitari ya wilaya ya Ludewa


                                                 SHIDA CHIHONGAKI AFISA TAKUKURU


Lucas Swebe afisa wa TAKUKURU akishiriki kufanya usafi hospitari ya wilaya


Kiogozi wa Club ya wapinga rushwa kutoka sekondari ya St Alois akitoa sabuni kwa mzazi aliyekuwa amelazwa katika wodi ya wazazi.

EDINGS MWAKAMBONJA



Diwani wa kata ya Mlangali kupitia chama cha Deomkrasia na Maendeleo(CHADEMA) Faraja Mlelwa akishirki katika kazi za useremala
STANLEY GOWELE katibu wa mbunge wa Ludewa alipokuwa akijieleza wakatiti wa kugombea nafasi ya ujumbe wa kamati ya katiba.

No comments:

Post a Comment