WANA MUSIC WA BENDI YA NJOMBE STARS WAKITUMBUIZA KWA MARA YA KWANZA LUDEWA RESORT
BWA DAVID KAPULU ALIPOKUMBUKA ENZI ZAKE AKIWA TABORA JAZZ HAPA ALIPEWA NAFASI YA KUIMBA WIMBO NA NJOMBE STARS JUMAPILI APRIL 28
GAMA AFISA WA JESHI LA MAGEREZA AKICHARAZA RITHMU GITAA USIKU WA APRIL 28 KATIKA UKUMBI WA RESORT MJINI LUDEWA
No comments:
Post a Comment