Friday, April 5, 2013

TATHMINI YA MAZINGIRA

 Mbunge mstaafu wa Ludewa Prof Mwalyosi akifafanua jambo kuhusu mazingira kabla ya migodi ya mchuchuma na liganga kuanza
 Afisa kilimo Betrice Nombo akitoa mchango wake namna wananchi watakavyoshiriki na kutumia fursa zitakazotokana na wawekezaji wa migodi ya Liganga na Mchuchuma

Mbunge mstaafu wa jimbo la Ludewa Prof Raphael Mwalyosi (katikati) alipozungumza na wakuu wa idara na wataalam katika halmashauri ya wilaya ya Ludewa machi 5 mwaka huu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa Wiliamu Waziri alipokuwa na kamati ya mazingira chini ya prof  mwalyosi katika ukumbi wa Halmashauri hiyo machi 5 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment