Sunday, July 21, 2013

FILIKUNJOMBE AKABIDHI PIKIPIKI 34 ZENYE THAMANI YA SHILINGI M.61.4 KWA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA BILA KUJALI ITIKADI ZA KISIASA. WAMO WAWILI KUTOKA CHADEMA NA NCCR- MAGEUZI, VITI MAALUMU CCM 9 NA MADIWANI WA MAJIMBO 23 WENGINE KUFANYA BODABODA.

 STANLEY GOWELE KATIBU WA MBUNGE MWENYE TSHIRT, DIWANI WA IWELA JOACHIMU LUKUWI,(KATIKATI) NA EDWARD HAULE DIWANI WA IBUMI (MWENYE SUTI) NA DIWANI WA MKONANG'OMBE KAJOLE HAULE MAMBA ALIYECHUCHUMAA WAKIPATA MAELEKEZO TOKA KWA KATIBU WA MBUNGE WAKATI WAKISUBIRI KUKABIDHIWA PIKIPIKI ZAO.

  MAFUNDI WAKIENDELEA KUZIUNGANISHA PIKIPIKI KWA AJILI YA KUWAKABIDHI MADIWANI

 Ananias Haule(mamba) akikabidhiwa pikipiki yake na katibu wa mbunge

   Edward Haule Diwani wa kata ya Ibumi akipokea pikipiki yake













 Diwani wa kata ya Lugarawa Philomena Haule akikabidhiwa pikipiki yake


 Mkuu wa wilaya ya Ludewa Juma Madaha akishuhudia baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa wakikabidhiwa pikipiki zao na katibu wa mbunge.

 Diwani wa Ludende Mh, Msea akipoke pikipiki yake




 Baaddhi ya madiwani wakiwa wamekaa kusubiri kukabidhiwa pikipiki zao


No comments:

Post a Comment