Thursday, July 18, 2013

MADIWANI LUDEWA WATOA AZIMIO WANANCHI WANAOTARAJIA KUHAMA KUPISHA MIGODI KUJENGEWA NYUMBA BADALA YA KUPEWA FEDHA KAMA FIDIA

Wakizungumza jana madiwani hao walisema wananchi kama watapewa fedha hawatanudu gharaka za ujenzi badala yake watajikuta hawana mahali pa kuishi.

No comments:

Post a Comment