Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokelewa na wenyeji wake katika kijiji cha Mawengi. Mkuu wa Mkoa wa Njombe Kaptain mstaafu Asheri Msangi kulia, Mkuu wa wilaya ya Ludewa Juma Madaha(katikati) na mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe mwenye suruali ya Jinzi.
Waziri mkuu akisalimiana na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi(CCM) wilaya ya Ludewa Stanley Kolimba katika kijiji cha mawengi
Waziri Mizengo Pinda akisalimiana na kamanda wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wilaya ya Ludewa(TAKUKURU) katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa.
Wakuu wa Idara na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa wakiwa pamoja kumsubiri waziri mkuu
Deo Filikunjombe akiwa na viongozi pamoja na watendaji mbalimbali katika halmashauri ya wilaya ya Ludewa kumsubiri waziri mkuu mizengo pinda
Vikundi vya Ngoma vikitumbuiza wakati wa ziara ya waziri mkuuu
Filikunjombe Mbunge wa Ludewa akimwelekeza jambo waziri mkuu kuhusu ngoma ya kipangwa
Wazirio mkuu akielekea kwenye jengo kwa ajili ya kuzindua kinu cha kukobolea kahawa ya kisasa katika kijiji cha Mawengi
Waziri mkuu akishangaa kinu cha kisasa kinavyokoboa kahawa kitaalamu
waziri mkuu mizengo pinda akishuhudia kinu kinavyokoboa kahawa
Waziri mkuu akisalimiana na wakuu wa idara pamoja na watumishi mbalimbali wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa
Mama Tunu Pinda mke wa waziri mkuu akiwasalimia wananchi wa Ludewa na kuwashukuru kwa kumpatia kiwanja cha kujenga
Waziri mkuu akiwasili katika sekondari ya chief kidulile kuweka jiwe la msingi katika jengo jipya la maabara shuleni hapo
Mkuu wa mkoa wa Njombe kapteni mstaafu Asheri msangi akizungumza na wanafunzi wa sekondari ya chief kidulile
Filikunjombe akitoa maelezo kwa waziri mkuu mbele ya wanafunzi wa sekondari ya chief kidulile
Waziri mkuu akizungumza na wanafunzi wa sekondari ya Chief Kidulile
Waziri mkuu akiwa na wawekezaji wa wazalendo kampuni ya MMI na wawekezaji wa nje wachina ikulu Ludewa
Mizengo pinda akiteta jambo na wawekezaji
Deo Filikunjombe na Deo Sanga wakiteta jambo katika ziara ya waziri mkuu wilayani Ludewa
No comments:
Post a Comment