Atanasio Munge mhandisi wa maji wilaya ya Ludewa
Atanasio Munge mhandisi wa maji wilaya ya Ludewa anakabiliwa na kesi ya ubadhilifu wa fedha za umma na kuisababishia serikali jumla ya shilingi milioni 4.2
Aliyesimama ni kamanda wa Takukuru wilaya ya Ludewa Edings Mwakambonja
No comments:
Post a Comment