WAZAZI WAKIWA KWENYE KIKAO KUJADILI JINSI YA KUIENDELEZA SHULE YAO
MWANAFUNZI AKITOKA KUCHOTA MAJI KATIKA MTO LUHUHU MTO WENYE MAMBA WENGI
MTO LUHUHU
MTO LUHUHU
MAJI YA MTO LUHUHU HUTUMIKA KWA MATUMIZI MBALIMBALI YA BINADAMU LAKINI SIYO SAFI WALA SIYO SALAMA
SHULE HII YA KIYOGO INA JUMLA YA WALIMU WATATU WA KIUME
MWALIMU HUYU AMEKUBALI KUISHI KATIKA MAZINGIRA HAYA KWA SABABU ANATOKA KIJIJI CHA JIRANI NA SHULE HII YA KIYOGO
MWALIMU KAMA HUYU AKITOKA KATIKA MIKOA YA KASKAZINI ATAKAA KUFUNDISHA HAPA?
MAZINGIRA HAYA YAMESHAKUWA YA KAWAIDA KWA WALIMU
UBAO UNAOTUMIKA KUFUNDUSHIA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI KIYOGO
WANAFUNZI HAWA WATEGEMEE KUPATA ELIMU BORA?
MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KIYOGO AKIWA NDANI YA OFISI YAKE
PAA NA KUTA ZA SHULE YA MSINGI KIYOGO
WANAFUNZI SHULE YA MSINGI KIYOGO WAKIWA DARASANI
yaani daah nmekumbuka mbali sana. kwa kweli shule ya msingi Kiyogo na Kijiji Cha Kiyogo kwa ujumla maendeleo yapo chini Sana Sasa sijui serikali bado haijaliona hili!. lakini serikali yenyewe ni pamoja na viongozi wa halmashauri ya wilaya na kata husika, Jamani haki sawa kwa kila sehemu nchini Tanzania, miundombinu isiboreshwe mjini tu kwani mzalendo, au kiongozi au mtu yeyote ambaye anachangia maendeleo ya nchi hatoki mjini tu, hata kijijini anatoka. Tubadilike Naipenda Tanzania. Mungu ibariki. Asante
ReplyDelete