Tuesday, July 2, 2013

TAKUKURU LUDEWA NA MATUKIO

 MKUU WA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA TAKUKURU EDINGS MWAKAMBONJA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI OFISINI KWAKE JULAI 2 MWAKA HUU.
 MWENYEKITI WA KIJIJI CHA MBUGANI KATA YA MAVANGA BW IGNAS MGAYA AKISINDIKIZWA NA POLISI KWENDA KATIKA CHUIMBA CHA MAHABUSU BAADA YA KUHUKUMIWA JELA MIAKA 6 KWA MAKOSA YA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA
 IGNASI MGAYA AKIWA KATIKA CHUMBA CHA MAHABUSU AKIWA HAAMINI KILICHOTOKEA MAHAKAMANI HAPA ANAWAZA JUU YA FAMILIA YAKE. HATA HIVYO SURA YAKE ILIBADILIKA KUWA YENYE FURAHA BAADA YA NDUGU ZAKE KUFANIKIWA KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 1,500,000 NA YEYE KUACHIWA.
MKUU WA TAKUKURU WILAYANI LUDEWA EDINGS MWAKAMBONJA AKIWA OFISINI KWAKE ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU NAMNA OFISI YAKE INAVYOYAKABILI MAKOSA YA RUSHWA.

No comments:

Post a Comment