Washiriki wa miss Ludewa 2013 wakiwa katika mapozi tofauti huku wakiwa wamevaa mavazi yenye ubunifu tofauti.
Hapa washiriki wakiwa wamekaa katika kitanda kimoja kama pozi lao
Hilo pozi balaa
Hapa washiriki wa mashindano ya miss Ludewa 2013 wakiwa katika pozi huku wakiwa peku bila viatu.
Mambo ya Miss Ludewa 2013 yanatarajia kufanyika kesho septemba 14 katika ukumbi wa Halmashauri
Hili ni zoezi la ubaunsa ndani ya umiss Ludewa 2013













No comments:
Post a Comment