WANACHAMA
saba wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema katika kata ya
Mkongobaki wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe wameamua kurudisha kadi
zao na kuhamia chama cha mapinduzi ccm kutokana na kile waliichokiita
ubabaishaji wa viongozi wa chama ngazi ya wilaya na Taifa.
No comments:
Post a Comment