Wananchi 100 wa Ludewa wakiwa ndani ya Bunge
Bungeni
Wananchi wa Ludewa wakisalimiana na waziri mkuu mizengo Pinda nje ya ukumbi wa Bunge muda mfupi baada ya kumalizika kusomwa bajeti ya serikali.
Vita Kawawa akisalimiana na wananchi wa Ludewa nje ya ukumbi wa Bunge
Waziri mkuu mizengo pinda akisalimiana na na mwenyekiti wa ccm wilaya ya Ludewa Stanley Kolimba nje ya ukumbi wa Bunge
picha ya pamoja nje ya ukumbi wa Bunge
Picha ya pamoja nje ya ukumbi wa Bunge
No comments:
Post a Comment