Monday, July 28, 2014

UZINDUZI WA MAFUNZO YA MGAMBO KATA YA MKONGOBAKI 22JULAY 2014

Mkuu wa wilaya Ludewa Bw.Juma Solomon Madaha akikaribishwa na mkufunzi wa mgambo katika kijiji cha Mkongobaki
Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bw.Juma Solomon Madaha akitoa hotuba kwa wanamgambo walioko mafunzoni

Bw.Madaha akiandika maswali kutoka kwa wanamgambo

Mshauri wa Mgambo wilaya ya Ludewa akiwasalimia wananchi waliofika katika ufunguzi wa mafunzo ya mgambo
Wanamgambo wakimsikiliza  mkuu wa wilaya ya Ludewa






No comments:

Post a Comment