Hapa akishiriki kushusha saruji,mabati na rangi kwenye lori. saruji hiyo allitoa kwa ajili ya ujenzi wa darasa na nyumba ya mganga katika kijiji cha Mbongo
Filikunjombe akizindua na kuweka jiwe la msingi katika zahanati ya Ihanga mlangali ndani
akihutubia mkutano wa hadhara kijiji cha mbongo kata ya Manda
hapa anapokea zawadi katika kitongoji cha Madindo kata ya mlangali
pamoja na mh; Elfrida Kilumbo (kizota) diwani wa kata ya manda wakitathmini jinsi ya kumalizia darasa
akiwasurubu mbele ya wananchi kaimu mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya Ludewa Horace Kolimba na Kaimu mganga mkuu Katemba
akikabidhi saruji ktkmkijiji cha mbongo
jezi na mipira kwa vijana
Filikunjombe akituzwa na akina mama baada ya kushiriki ngoma ya ligambusi
Ligambusi mbongo
mapokezi kijiji cha Igalu
wananchi walimkabidhi maji machafu wanayotumia kutoka mto Luhuhu
No comments:
Post a Comment