madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Ludewa wakishuhudia kuzikwa kwa mwenzao Chritina Alon Kayombo diwani viti maalum tarafa ya mwambao (ccm)aliyefariki kwa ajali ya gari 08septemba mwaka huu akienda kwenye shughuli za maendeleo na baadhi ya wananchi ambao walipata matibabu na kuruhusiwa.
No comments:
Post a Comment