KWA WAPENDA ELIMU NDANI NA NJE YA WILAYA YA LUDEWA
Mfululizo wa
vitabu mbalimbali vinavyopatikana wilaya ya Ludewa ikiwa mwandishi wa vitabu
hivyo anapatikana Ludewa mjini katika mtaa wa Mkondachi.
Vitabu hivyo
vya hadithi na masomo ya Kiswahili unaweza kuvipata Ndanda Mission,Imiliwaha
mission Njombe na Ndumbi store Ludewa mjini katika stand ya mabasi.
Bei za vitabu hivi ni shilingi 2000 kwa Ludewa mjini lakini vimekuwa na bei tofauti katika maeneo mengine.
Vitabu vya Kiswahili
na kingereza
1.Demography kwa maendeleo ya nchi(Kiswahili)
2.Demography for Country Development(kingereza)
Wafanyakazi
wote Serikalini,Vyuo vya elimu ya juu,wakufunzi na wahadhiri na wananchi
wapenda elimu kwa ujumla vitabu hivi vipo katika Sylabus ya Demography elimu ya
juu.
Mtunzi ni Lazaro B.Mapunda
kwa mawasiliano email adres lazaromapunda@yahoo.com
Au S.L.P.19 Ludewa
wahi upate nakala yako sasa
pia unaweza kutupigia simu no 0752206242
No comments:
Post a Comment