Sunday, April 17, 2016

MTOTO Joseline Mkinga miaka 11 mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Ludewa kijijini Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, anaomba msaada kwa watanzania wenye mapenzi mema ili aweze kupata matibabu zaidi ya kidonda kichwani kilichotokana na kuungua na moto wa kibatari akiwa mdogo.









No comments:

Post a Comment