Wednesday, October 24, 2012

TAASISI YA HASSAN MAAJAR YAKABIDHI MADAWATI 680 MKOANI NJOMBE



Mkuu wa mkoa wa Njombe Captain Mstaafu Asseri Msangi akikabidhiwa madawati 680 na Meneja mauzo wa Tigo mkoa wa Iringa bwana Ladislaus  Karlo leo kuokoa jahazi la upungufu wa madawati mashuleni.
 
Mkuu wa mkoa wa Njomba na Mgeni rasmi, Kapteni mstaafu Asery Msangi katikati akiangalia moja ya madawati 680 yaliyotolewa kama msaada kwa shule za mkoa huo, kulia ni Meneja Mauzo mkoa wa Iringa Ladislaus Karlo na kushoto ni Mkurugenzi  Hassan Maajar Trust Zena Maajar Tenga  na mmoja wa watoto wa shule hizo.
     
Wanafunzi wakiwa wamekaa kwenye madawati mara baada ya kukabidhiwa rasmi.
  

No comments:

Post a Comment