Mchezaji
wa timu ya Yanga ya jijini Dar es salaam David Luhende akimiliki mpira
mbele ya Nicholas Kabipe
Wachezaji
wa timu ya Yanga Jerry Tegete kushoto na Didier Kavumbagu wakishangilia
kwa staili ya kucheza mayenu baada ya mchezaji Kavumbagu kuifungiaYanga
goli la pili katika kipindi cha kwanza.
No comments:
Post a Comment