Mkuu wa mkoa akipokelewa na wenyeji wake Bomani kwenda ofisi ya mkuu wa wilaya.kulia kwake ni Juma Madaha mkuu wa wilaya ya Ludewa, nyuma kushoto ni Fidelis Lumatto mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya.
Fidelis Lumato Mkurugenzi halmashauri ya wilaya Ludewa akiwa ametulia ofisini kwa mkuu wa wilaya Nov 25 mwaka huu.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Aseli Msangi akitelemka kwenye boti kwa njia ya mtumbwi huku akisaidiwa na wasaidizi wake Egidi Nkwera, diwani wa makonde Crispin mwakasungura mwendakote na wananchi.
Mtoto ambaye hakutambulika jina lake mara moja akitafuna maembe kama asubuhi badala ya chai. mtoto huyo alipata bahati ya kupeana mkona na mkuu wa mkoa wa njombe katika bandari ya Lupingu Nov 29 mwaka huu baada ya ziara kusitishwa hadi Disemba 12 mwaka huu
Askari polisi wakiwa wameimarisha ulinzi katika moja ya mikutano Tarafa ya mwambao wa ziwa nyasa
MKUU WA MKOA NA MSAFARA WAKE AKIWA UFUKWENI MWA ZIWA NYASA NOV 26 MWAKA HUU KATIKA KIJIJI CHA MAKONDE BAADA YA KUMALIZA MKUTANO NA KUSHINDWA KUONDOKA KWA BOTI BAADA YA ZIWA KUCHAFUKA GHAFLA NA KULAZIMIKA KUTEMBEA KWA MIGUU HADI KATA YA LIFUMA.
MKUU akitafakari namna ya kuanza safari kuelekea Lifuma kwa miguu
Mkuu wa mkoa wa njombe Mh;Aseli Msangi na mkuu wa wilaya ya Ludewa Juma Solomoni Madaha wakiwa ndani ya chombo.
No comments:
Post a Comment