Wednesday, December 26, 2012

 Kanisa la Mtakatifu Gabriel Lugarawa alimosali Mh; Deo Filikunjombe na familia yake Dec 25 mwaka huu
 Waumini wa Lugarawa wakiwa wanamsikiliza  mbunge wao Deo Filikunjombe katika misa ya krimasi katika kanisa la mtakatifu Gabriel parokia ya Lugarawa Disemba 25 mwaka huu alip
 Filikunjombe akikagua jengo la zahanati katika kijiji cha Mdilidili ambapo yeye mwenyewe amechangia vifaa vya kiwandani na mafundi.wananchi hulazimika kutembea umbali wa km 6 kufuata huduma kijiji cha Lugarawa.
 Mh; Filikunjombe alioshindwa kujizuia na kujikuta akibubujikwa na machozi baada ya kuimbiwa wimbo wa huzuni na Diana Haule anayeuguza vidonda alivyoungua na moto kutokana na ugonjwa wa kifafa.
 Filikunjombe na Familia yake wakitenda matendo ya huruma kwa kuwatembele wagonjwa kila wodi Lugarawa.
 Filikunjombe alipochomwa na mshale wa maneno ya mtoto Diana Haule akashindwa kujizuia na kulia hadharani alipotembelea hospitali Lugarawa kutenda matendo ya huruma kwa wagonjwa kwa kuwaandalia chakula Xmass mwakahuu.
Sara Filikunjombe mke wa mbunge akishiriki matendo ya huruma kwa kupeleka chakula kwa wagonjwa katika Hospitali ya mission Lugarawa.

No comments:

Post a Comment