Hapa matumaini ya kusafiri kwa boti yanaanza kupotea iliyobaki ni kutembea kwa miguu kutoka Makonde hadi Lifuma na kulala huko.
Hapa ni mkutano wa hadhara Lupingu viongozi wakisubiri kuulizwa maswali na wananchi wa Lupingu nov 25 mwaka huu. kushoto ni Peter Nyakigera Afisa uvuvi mwandamizi mkoa wa njombe na Egid Nkwera mchumi mkoa njombe. na Bazil Makungu
Mkuu wa Mkoa njombe akiwaeleza wananchi sheria na utaratibu wa namna na njia ya kumwondoa diwani madarakani wananchi wa kata ya Makonde waliomtaka aondoke na diwani wao kwa tuhuma za ufisadi ambazo hata hivyo hazikuthibitishwa. na Bazil Makungu
No comments:
Post a Comment