Wananchi wilaya ya Ludewa wakiwa wamejipanga barabarani na mabango kumpokea mbunge wao Deo Filikunjombe akitokea mbungeni
Deo Filikunjombe akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa kujenga matanki ya maji yenye gharama nafuu katika kata ya Milo
SHULE YA MSINGI IBIHI ILIYOPO NDANI YA GEREZA LA IBIHI IKIWA HOI ILIPOTEMBELEWA NA WAANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA KWANZA JAMII
Deo Filikunjombe mbunge wa Ludewa akiwa ndani ya mkokoteni unaokokotwa na punda kama ishara ya heshima kwa mbunge huyo machachari
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe Bazil Makungu akiwa mbele kuwaongoza na kuhakikisha punda waliobeba mkokoteni ulioandaliwa kwa ajili ya mbunge wanakwenda kwa utaratibu kama walivyofundishwa.
No comments:
Post a Comment