Novemba 25 mwaka huu huu magari ya msafara yaliposhindwa kupishana katika mteremko barabara ya Lupingu karibi na kibao cha kaburi na padre
Mkuu wa mkoa wa njombe alipoamua kutembea kwa miguu tena kutoka Lifuma hadi Nsisi kupanda boti kurudi Lupingu baada ya kusitisha ziara yake kutokana na kuchafuka kwa ziwa nyasa novemba 29 mwaka huu. mbele ni Afisa Tarafa mwambao Bw Malamba akionesha njia nyuma yake ni mkuu wa mkoa njombeAseli Masngi Mkuu wa wilaya Ludewa Juma Madaha na mkurugenzi wa halmashauri ya Ludewa Fidelis Lumato. Bazil Makungu
Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseli Msangi akiangalia maandishi yaliyoandikwa kama ni sahihi baada ya kuzindua jengo la ofisi ya kata ya Makonde Novemba 26 mwaka huu
Fedelis Lumato mkurugenzi halmashauri ya wilaya Ludewa na Dso Kazimoto wakiwa wanejipumzisha katika majenga ya kanisa katholiki Lifuma
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa Fidelis Lumato wa pili kulia mwenye suti nyeusi, kulia kwake mwenyekiti wa ccm wilaya ya Ludewa Stanley Kolimba, kaimu ocd A/Insp Mwakibete kushoto na wa mwisho kulia ni Dso Kazimoto Novemba 27 mwaka huu Lifuma RC siku ya pili wakisubiri huruma ya ziwa. Picha na Bazil Makungu
No comments:
Post a Comment