Friday, January 11, 2013

 Mh; Deo Filikunjombe Mbunge wa Ludewa akiteta jambo na Bi Hilda ngoye mbunge viti maalum mkoa wa mbeya Disemba 30 mwaka jana katika kijiji cha Nsisi kata ya Lifuma wilaya ya Ludewa.
 Hilda Ngoye alipopewa nafasi kuzungumza katika mkutano wa hadhara ambapo mgeni rasmi alikuwa mbunge wa Ludewa Deo Filikunjmbe
 Deo Filikunjombe akijibu maswali ya wananchi wa kijiji cha Nsisi alipowatembelea hivi karibuni
 Bibi na Bw Michael Phily wakiwa katika nyuso za furaha kabla ya mke kujifungua mtoto wa kiume aitwaye Ernest Michael Philly 27 Disemba 2012 Alhamisi asubuhi saa 4.30 katika Hospitari ya Wilaya ya Ludewa siku mbili tu baada ya sikuu ya Xmass ns siku nne kabla ya mwaka mpya 2013.
 Zahanati ya kijiji cha Mdilidili kata ya Lugarawa ikiwa katika hatua za mwisho. katika ujenzi huo mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe amechangia vifaa vya dukani na gharama ya mafundi.
 Vijana wakiwa wamebeba kibudu cha nyama ya ng'ombe kutoka porini kwenda kuuza kwa kubadilisha na mazao katika kijiji cha Luilo.
 Pombe aina ya komoni na ulanzi vikiwa sokoni katika gurio la Ludewa mjini linalofanyika kilatarehe 14 ya kila mwezi(Lembuka)

 Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akiwa na mtaalam wa kujenga matanki ya bei nafuu katika kijiji cha Milo alipokwenda kula chakula na wagonjwa mwaka juzi

CHUMA CHA LIGANGA KIKIONEKANA KWA UMBALI WA MITA 600

No comments:

Post a Comment