Friday, January 11, 2013

WACHINA WALIPOKABIDHI MABATI NA MISUMARI KATIKA SHULE YA MSINGI MKOMANG'OMBE JANUARY 10 MWAKA HUU

 Maneja Mkuu wa uzalishaji makaa ya mawe na umeme wa Tanzania China International Minerals Resouces LTD Achen qi hong akikabidhi mabati na misumari kwa diwani wa kata ya Mkomang,ombe Ananias Mamba Haule kulia kwake ni mkuu wa shule, mwenye kofia mwenyekiti wa kijiji, mwenye suti meneja na NDC Kabuka.


 ADHA YA USAFIRI MITAMBO KWA AJILI YA MIGODI YA MCHUCHUMA IKIWA IMEKWAMA NA KUZIBA BARABARA MAENEO YA MUHORO KWA WIPATA MABASI YALISHINDWA KUTOKA NA KUINGIA LUDEWA KWA MUDA WA SIKU NNE
 BARABARA YA MHOLO ILIVYOCHAKAA
 WANAFUNZI  WA SHULE YA MSINGI MKOMANG'OMBE WAKISHANGILIA KAMA ISHARA YA KUSHUKURU KWA MFADHIRI ALIYETOA MABATI NA MISUMALI KWA AKILI YA UKARABATI WA SHULE YAO ILIYOEZULIWA NA UPEPO KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA LUDEWA
 MITAMBO YA WACHINA ILIYOKWAMA MHOLO
 DR AMANI HAULE AKIWAKARIBISHA WAGENI WAALIKWA KWENYE HARUSI YA BW SANGA KATIKA KUFUNGA MWAKA
WANANCHI WILAYA YA LUDEWA WAMEKUWA WAKIPATA SHIDA YA KUSAFIRISHA WAGONJWA HUKU AMBULANCE LIKIOZEA KWENYE MAWE

No comments:

Post a Comment