Monday, January 14, 2013

MATUKIO YA UZINDUZI WA SHEREHE ZA UPANDAJI MITI LUDEWA KIWILAYA MADINDO KATA YA LUDENDE

 MKUU WA WILAYA YA LUDEWA JUMA SOLOMONI MADAHA AKIZINDUA SHEREHE ZA UPANDANDAJI MITI  KIWILAYA KATIKA KITONGOJI CHA MULULU, KIJIJI CHA MADINDO KATA YA lUDENDE JANUARI 14 MWAKA HUU
 MKUU WA WILAYA , MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA FIDELS LUMATO KATIKATI  MWENYE KOFIA SIKU YA UZINDUZI.

 MKUU WA WILAYA AKITOA HOTUBA WAKATI WA UZINDUZI WA UPANDAJI MITI KIWILAYA JANUARI 14 MWAKA HUU



 MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA FIDELS LUMATO AKISHIRIKI UZINDUZI KWA KUPANDA MITI
 MKUU WA WILAYA YA LUDEWA
GILBERT NGAILO KAIMU AFISA ARDHI NA MALIASILI AKIPANDA MTI SIKU YA UZINDUZI WA UPANDAJI MITI MADINDO LUDENDE LUDEWA.
 MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA MATEI KONGO SIKU YA UZINDUZI









 GARI LA KWANZA LA WAGONJWA WILAYANI LUDEWA LIKIVUTWA KUPELEKWA MJINI BAADA YA KUUZWA KWA MNADADISEMBA 29 MWAKA JANA. LUDEWA SASA HAINA GARI LA WAGONJWA LILILOPO LIMEKAA JUU YA MAWE MIAKA MIWILI .
 GARI LA MKUU WA WILAYA YA LUDEWA LIKIWA LIMEKWAMA KATIKA TOPE KUTOKANA NA UBOVU WA BARABARA BAADA YA MVUA KUNYESHA SIKU YA UZINDUZI WA UPANDAJI MITI
 HALI HALISI YA BARABARA YA KUTOKA LUDEWA MHORO LUGARAWA NI BAADA YA DREVA KUFANIKIWA KUINASUA GARI YA DC






 MKUU WA WILAYA AKISHUHUDIA UKARABATI WA BARABARA YA LUDEWA MHORO

No comments:

Post a Comment