Thursday, January 17, 2013

MAKAMBA KORTINI KWA KUOMBA NA KUPOKE RUSHWA

 Afisa mtendaji kata ya Mlangali Edward Makamba (matalawasula) alipofikishwa mahakamani na Takukuru kwa tuhuma za kuomba na kupokea hongo ya shilingi laki moja.
 EDWARD MAKAMBA(Matalawasula) Afisa mtendaji kata ya Mlangali akiwa mahakamani alipofikishwa  na Takukuru kwa tuhuma za kuomba na kupokea mlungula wa shilingi 100,000 kwa njia ya M-PESA
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Matei Felician Kongo mwenye shati jeupe aliyegeukia kamera akiwa na washtakiwa wa pembejeo kwenye majengo ya mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Ludewa. kulia ni afisa mtendaji kujiji cha Kipangala Yohana Pili, mwenye koti jeusi ni Sebastian Haule ambaye ni wakala katika kijiji cha Kipangala na Kilian Mbawala mwenyekiti wa pembejeo.

No comments:

Post a Comment