Wednesday, January 30, 2013

MBUNGE WA LUDEWA ALIPOKWENDA KUMPELEKA MKURUGENZI WA VETA NCHINI BWA ZEBADIAL MOSHI ENEO LINALOTEGEMEA KUJENGWA CHUO CHA VETA KATIKA KIJIJI CHA SHAURIMOYO KATA YA LUGARAWA WILAYANI LUDEWA JANUARI 28 MWAKA HUU.

 MKURUGENZI ENEO LAKO NDIYO HILI HAPA LINAFIKA KUUUUULEEEEE UMEONAE///// NA TAYARI HALMASHAURI IMESHALIPIMA KWA GHARAMA ZAKE. NA LINA UKUBWA WA HEKTA 30 SAWA NA EKARI ZAIDI YA 70 DEO ALONEKANA AKIMWONESHA MGENI WAKE


 ZAHANATI TA MDILIDILI ALIJENGA FILIKUNJOMBE NA WANANCHI KUCHANGIA NGUVU ZAO








 MWAKILISHI WA KAMPUNI YA KICHINA AKITOA MAELEZO MBELE YA MBUNGE NA MKUU WA WILAYA HATUA WALIOFIKIA HAPA NI KAMBI YAO YA MUNDINDI
 HIKI NDIYO CHUMA CHA LIGANGA RASLIMALI INAYOTEGEMEWA KUWATOA WANANCHI KATIKA WIMBI LA UMASKINI
 KATIKATI FILIKUNJOMBE, KUSHOTO MKURUGENZI VETA TAIFA ZEBADIAH MOSHI KULIA NI MENEJA VETA KANDA YA MBEYA
 MKURUGENZI WA VETA AKISAINI KITABU CHA WAGENI





 FIDELIS LUMATO AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA HADHARA SHAURIMOYO ALIPOAHIDI KUSHIRIKANA NA VETA TAIFA
 MKUU WA WILAYA JUMA MADAHA NA DEO FILIKUNJOMBE KATIKA MKUTANO SHAURIMOYO
 MKURUGE NZI WA VETA ALIPOPEWA NDAFU NA WANANCHI WA LUDEWA
 MKUU WA WILAYA YA LUDEWA JUMA SOLOMONIO MADAHA AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA SHAURIMOYO KWA NIABA YA WANANCHI WA LUDEWA ALIPOWATAKA KUFANYAKAZI KWA BIDII ILI KUNUFAIKA NA FURSA ZITAKAZOTOKANA NA WAWEKEZAJI
 WANANCHI WA SHAURIMOYO WAKIMSIKILIZA MBUNGE WAO ALIPOKWENDA NA MGENI

 HIZI NDIZI NI NZURI SANA NINGEPATA HATA EKERI MOJA NILIME NA MIMI ILI KUONESHA USHIRIKIANO HAYA YA MANENO YA MOSHI MBELE YA MBUNGE
 HILI NDILO ENEO LAKO UTAKAPOJENGA CHUO FILIKUNJOMBE AKIMWELEKEZA MIPAKA YA ENEO
 KWA MWAMKO NILIOUONA CHUO HIKLI KINAANZA KUJENGWA APRIL MWAKA HUU ANAAHIDI BW MOSHI
 MKURUGENZI WA VETA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA LUDEWA JUU YA KUFURAHISHWA KWAKE NA MWAMKO WA WANANCHI JUU YA UJENZI WA VETA
 WANAN LUDEWA WAKO MSTARI WA  MBELE KULINDA MILA ZAO HAPA MBUNGE AKIMKARIMU MGENI MKURUGENZI WA VETA TAIFA KWA NIABA YA WANANCHI KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA JANUARI 28 MWAKA HUU KATIKA KIJIJI CHA SHAURIMOYO.






 mKURUGENZI WA VETA NCHINI AKIONGOZWA NA VIONGOZI MBALIMBALI NA WANANCHI KWENDA KUONESHA ENEO LA UJENZI WA CHUO

 FILIKUNJOMBE AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA SHAURIMOYO WALIPOAHIDI KUCHANGIA NGUVU ZAO KATIKA UJENZI HUO KWA KUKUSANYA MCHANGA,MAWE, NA KUFYATUA TOFAR.
 VIONGOZI MBALIMBALI NA NA WANANCHI WA KATA YA LUGARAWA WAKIWA ENEO KITAKAPOJENGWA CHUO

 DEO FILIKUNJOMBE AKIWA NA MKURUGENZI WA VETA NCHINI ZEBADIAL MOSHI KATIKA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA

 Mkurugenzi akioneshwa eneo na mwakilishi wa kampuni ya MMI
Filikunjombe akimwelezea kwa ufasaha Mkurugenzi wa VETA nchini ukubwa wa eneo ambalo ni hekta 30 sawa na ekari 70

No comments:

Post a Comment