Friday, January 18, 2013

MKUU WA WILAYA YA LUDEWA JUMA SOLOMONI MADAHA ALIPOTOA TAARIFA YA MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM AWAMU YA NNE JANUARY 17. 2013

 MKUU WA WILAYA JUMA SOLOMONI MADAHA AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA LUDEWA JANUARI 17 MWAKA HUU





 FIDELS LUMATO MKURUGENZI WA HALMASHAURI AKIWA NA STANLEY KOLIMBA
 STANLEY GOWELE kATIBU WA MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE AKISIKILIZA KWA MAKINI HOTUBA YA MKUU WA WILAYA
 Madiwani wakisikiliza kwa makini hotuba ya mkuu wa wilaya january 17 mwaka huu
 Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa Fidels Lumato, Stanley Kolimba mwenyekiti wa ccm wilaya ya Ludewa na kulia kabisa ni mkuu wa wilaya ya Ludewa Juma Madaha.
 Mwenyekiti mstaafu wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa Hilary Nkwera akisikiliza kwa makini hotuba ya mkuu wa wilaya aliyoitoa january 17 mwaka huu katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya.

Diwani wa kata ya Mawengi Leodgar Mpambalyoto akiwa ametulia kusikiliza na kutafakari taarifa ya Mkuu wa wilaya.

No comments:

Post a Comment