Wednesday, January 23, 2013

SHETANI MZEE LEONARDI MHAGAMA ALIPOKUTANA NA MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE JANUARI 3 MWAKA HUU AMBAPO MZEE ALISEMA SASA MUNGU ANAWEZA KUMCHUA KWA SABABU AZMA NA KIU YAKE YA KUMWONA MBUNGE IMETIMIA


 MZEE SHETANI ALIPOPEWA KIPAZA SAUTI ASEME NENO KATIKA MKUTANO WA HADHARA
 HAPA AKIMKARIBISHA FILIKUNJOMBE KWA KUMVALISHA SKAFU








 MZEE SHETANI AKIMKABIDHI MBUNGE KUKU  JOGOO KAMA ZAWADI

 HII NI MOJA YA VIVUTIO KATIKA ZIWA NYASA

 SARA FILIKUNJOMBE MKE WA MBUNGE WA LUDEWA KATIKA MOJA YA MIKUTANO  AKIJITAMBULISHA KATA YA LUDENDE
 FILIKUNJOMBE AKITOA MITEGO YA WANYAMA WAHARIBIFU KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA NKANDA MWAMBAO WA ZIWA NYASA

No comments:

Post a Comment