WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI LUDEWA (K) WAKIINGIA UWANJANI KUTUMBUIZA SIKU YA FAMILIA
POMBE YA ASILI AINA YA KOMONI IKIUZWA KATIKA VIWANJA VYA SHEREHE YA SIKU YA FAMILIA
MKUU WA WILAYA JUMA MADAHA AKIPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE MWENYEKITI WA KIJIJI CHA LUDEWA (K) SIKU YA FAMILIA
MKUU WA KITUO CHA POLISI LUDEWA SP KASEKWA AKIZUNGUMZA NA WANAFUNZI JUU YA POLISI JAMII
POLISI JAMIII
UWANJA WABADILISHA MATUMIZI KINYEMELA; Uwanja wa mpira wa miguu wa mjini Ludewa inasemekana kuwa umebadilishiwa matumizi kinyemela ambapo umekuwa ukikodishwa na wafanyabiashara kwa kutelemsha mitambo mizito uwanjani hapo na kusababisha uharibifu wa majani yaliyopandwa kwa gharama kubwa na chama cha moira wa miguu wilaya(LUDIFA)
Hapa lori likipakua trekta bila kupata kibali kwa wahusikaKUTOKANA NA KUTOKWEPO MASHINE YA KUKAMULIA MAFUTA YA ALIZETI MJINI LUDEWA WANAWAKE HAWA WALIKUTWA NA KAMERA WAKIBAGUA ALIZETI KWA KUTUMIA MENO
No comments:
Post a Comment