MRS MADAHA ALIPOPEWA NAFASI YA KUSEMA NENO SIKU YA FAMILIA DUNIANI
ALIYE KAA KULIA NI MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA MONICA MCHILO DIWANI WA KATA YA LUDEWA
WILIAM WAZIRI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA
KIKUNDI CHA MZALENDO KIKITUMBUIZA KATIKA SIKU YA FAMILIA
MWALIMU MANONGWA WA SHULE YA MSINGI LUDEWA (K) SIKU YA FAMILIA DUNIANI
MWALIMU FLORA MGAYA WA SHULE YA MSINGI SONGAMBELE AKIWAONGOZA WANAFUNZI WAKE KWA KUPIGA NGOMA MWENYEWE SIKU YA FAMILIA
SHAMRA SHAMRA ZIKENDELEA SIKU YA FAMILIA DUNIANI
KIKUNDI CHA IVA YOUTH GROUP CHA MJINI LUDEWA KIKITOA BURUDANI
NGOMA YA LIGAMBUSI CHINI YA LEONADI LUKUWI WALIPOALIKWA KUTUMBIZA SIKU HIYO
WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI LUDEWA MJINI
MWENYEKITI WA KIJIJI CHA LUDEWA (K) AKIWAKARIBISHA WAGENI NA KUFUNGUA MAADHIMISHO YA SHEREHE HIZO
KIKUNDI CHA MAHALAMISI KIKITUMBUIZA
EDINGS MWAKAMBONJA KAMANDA TAKUKURU LUDEWA NA BARAKA MKUYA MHANDISI UJENZI WILAYA LUDEWA NA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA WAKISHIRIKI NGOMA
ESTER MADAHA MKE WA MKUU WA WILAYA YA LUDEWA JUMA SOLOMONI MADAHA AKISHIRIKIANA NA KIKUNDI CHA MAHALAMISI KUPAMBA SIKU YA FAMILIA DUNIANI
WANAFUNZI WA SHULE MBALIMBALI ZA KATA YA LUDEWA WAKIWA WAMEACHA MASOMO NA KUSHIRIKI SIKU YA FAMILIA
WALIMU WA SHULE MBALIMBALI ZA MSINGI WAKIWA KATIKA SHEREHE HIZO HATA HIVYO SHULE ZA SEKONDARI NA WALIMU WAO HAWAKUONEKANA KATIKA SHEREHE HIZO
NGOMA ZA ASILI ZIKITUMBUIZWA
No comments:
Post a Comment