Friday, June 28, 2013

WANANCHI LUPINGU WAFURAHIA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI PASIPO SHAKA

 WANANCHI wa kijiji cha cha Nindi katika kata ya Lupingu Ludewa Mkoani wa Njombe wamepokea kwa furaha MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI YA KIJIJI CHAO hata hivyo wamwomba Afisa Ardhi Mteule Wilaya ya Ludewa JOSEPH KAMONGA kuwatengea na kuyazingatia maeneo ya Makaburi na yale ya Matambiko kwani yamekuwa yakisahalika sehemu nyingi.
 AFISA ARDHI MTEULE JOSEPH KAMONGA AKIPOKEA ZAWADI MAALUM KUTOKA KWA MWENYEKITI WA KIJIJI CHA NINDI VALENTINE HENJEWELE NA MKEWE SKOLASTIKA MPOLO.
 WAJUMBE WA KAMATI YA ARDHI KATIKA KIJIJI CHA NINDI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA TIMU YA WATAALAM WALIOPATA MAFUNZO MAALUMU KULIA WALIOKAA NI BW DAUDI MSUMANI AFISA MPIMA ARDHI WILAYA NA KATIKATI NI JOSEPH KAMONGA AFISA ARDHI MTEULE WILAYA YA LUDEWA NA KULIA KWAKE NI MZEE HENJEWELE MZEE MAALUFU KIJIJI CHA NINDI.








 WATAAMU KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WENYEVITI WA VITONGOJI WA KIJIJI CHA NINDI BAADA YA KUMALIZA KIKAO NA KUKUBALIANA KUFANYA MKUTANO WA HADHARA JUNI 28 MWAKA HUU ITAKAPOTOLEWA TAARIFA KUHUSU KUKAMILIKA KWA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI NINDI






















No comments:

Post a Comment